Tổng quan Umoja Radio
Taasisi yoyote ile popote nhạt ipatikanapo inaundwa kwenye misingi ya sheria zinazotoa muongozo kwa ufanisi wa shughuli zake. Ili kuepukana na hali ya kupapasa papasa au kubahatisha katika majukumu tuliyokabidhiwa inatubidi tuzingatie sheria ambayo ndiyo dira ya kazi yetu. Hữu ndio mtazamo unao maono ya maendeleo ya shughuli tuzifanyazo. Kwa mantiki hiyo, tutuyo matumaini kwamba wafanyakazi wa UR watakubali kuongozwa na sheria hii ili kukidhi vigezo vya mfanyakazi mwadilifu, hali itakayo wezesha UR kufikia malengo yake. Là! Sivyo, sheria haisinzie kamwe.
Xem thêm